Mm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!
Jamani si mke mwema anatoka kwa mungu na siku zote kwenye wema lazima mwanamke anaongelewa ndo maana hata wafuta wachumba wanataka hao wemaMm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!
Hahahahaaa......... Jamani mie ni bwakubwaku la haaaja..!
Hahaha mie natafuta bwakubwaku
Hahahahahaaaa.......... Unatafuta bwakubwaku tuu...
Yaani kigezo chako ni kimoja tuu bwakubwaku? Lol
Hahaha ndiwooooo, tena bwakubwaku la haaaaja!
Mm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!
Mm Mnanikera Na Vigezo Vyenu Utafikiri Hao Mabinti Ni Malaika! Na Nyie Mkoje? Au Mnapenda Tu Wema Na Nyie Si Wema!
Jamani si mke mwema anatoka kwa mungu na siku zote kwenye wema lazima mwanamke anaongelewa ndo maana hata wafuta wachumba wanataka hao wema
hahaha hapa mie napendaga sana wanawake wanapo lawama kuhusu wanaume kutaka bikra lol
Eti awe najua kupikia kuni! Mi ntakuja na kajiko kangu ka mchina.
Afu bwakubwaku ndo nini inamaanisha?
eeh! nyie mnapenda binti ambaye hajaguswa, wakati huo wewe una msululu wa mabinti ka foleni ya magar kariakoo! loh!
hahaha mie mbona sijagusa binti wa mtu...ila tukiwatmkia hivyo mnasema ooh jamaa atashindwa kuniridhisha
ahahaha.... eti sijamgusa binti wa mtu! loh, labda si mzabzab!