Natafuta mwanamke

Natafuta mwanamke

lifeline

Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
63
Reaction score
9
Natafuta mwanamke kuanzia miaka 25 mpaka 35 awe mkristo...Kabila lolote.Mimi ni mtanzania niliyekaa nje ya nchi(Europe)kwa miaka mingi ,nimerudi nyumbani kuishi na anayehitaji anipm tutaanza na kuchat kwanza ili Tufahamiane zaidi
 
Natafuta mwanamke kuanzia miaka 25 mpaka 35 awe mkristo...Kabila lolote.Mimi ni mtanzania niliyekaa nje ya nchi(Europe)kwa miaka mingi ,nimerudi nyumbani kuishi na anayehitaji anipm tutaanza na kuchat kwanza ili Tufahamiane zaidi

mkuu sijakuelewa unamaana gani kwenye hayo maneno yako kusema hivyo unamtamanisha kuwa umekaa huko au unataka kuwa aliyewahi kukaa hayo maeneo hayo au unataka mtu anayejua kieurope bila ya kuwa amewahi au hajawahi kukaa hayo maeneo hayo
na kwa nini hujaweka vigezo hivi
1.picha
2.umri wako
3.elimu yako na yake pia
4.kabila
5.hujaainisha kama unatumia pombe au la
6.unafanya kazi au la .hii itamsaidia kukujua zaidi kuna wengine hawapendi kuolewa na watu masikini na kuna wengine wanataka waolewe na masikini ili waanze maisha pamoja na watu wajue kuwa una hela ya lotion asije mtoto w watu ukachukua mzuri akaja kwako kuharibika
na mwisho kwa nini unapenda kuchat baadala ya kuonana ana kwa ana kuna nini
na huko ulipokuwa ughaibuni ulikosa nchi nzima yaani kuanzia misibani ,makanisani,mashuleni,mavyuoni,na hata ulipokuwa unakaa
basi hebu tuambie haya niliokuuliza yawasaidie wanaotaka kukujua zaidi
 
Anza kuni pm mi pia natafuta ila isije ikawa uko nje ulikuwa jambazi sugu ha ha ha haaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom