Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Natafuta mwanamke wa kuzaa naye

Sarya

Senior Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
151
Reaction score
41
Jamani wana JF, natafuta mwamke wa kuzaa naye mtoto mmoja tu. Mimi ni mwanume miaka 37 na ninaishi Arusha.

Nipo tayari kupima naye na niko tayari kule mtoto lakini siyo kuoana.
 
Kwanini hutaki kuoa? Na huyo mtoto mtarajiwa akishazaliwa ndio inakuwaje? unamchukua au anabaki na mama yake? Funguka zaidi ili kama wapo wanaotaka kuchangamkia hili bandiko wakuelewe.

Jamani wana jf, natafuta mwamke wa kuzaa naye mtoto mmoja tu.
Mimi ni mwanume miaka 37 na ninaishi Arusha. Nipo tayari kupima naye na niko tayari kule mtoto lakini siyo kuoana.
 
Kwanini hutaki kuoa? Na huyo mtoto mtarajiwa akishazaliwa ndio inakuwaje? unamchukua au anabaki na mama yake? Funguka zaidi ili kama wapo wanaotaka kuchangamkia hili bandiko wakuelewe.
Unafikiri kuoa ni mchezo. mia
 
Wow! Nimepata wa kuzaa nae aisee njoo uku basi me mwenyewe sina mpango wa kuolewa bt nina42!
 
Funguka banaaaa!!! usiishie njiani!!!!....Wewe unafikiri kumtaka mwanamke akuzalie mtoto bila kujua hatima yake na ya mtoto ni mchezo!? Mkuu ngoja afunguke huyu
Unaweza kuzaa kwa bahati mbaya lakini huwezi kuoa kwa bahati mbaya. Baada ya wiki mnaachana kama ndoa ukiichukulia kama mchezo. mia
 
Dalili zako zinaonyesha sio nzuri,kuzaa mtoto haitoshi tu kumbuka mtoto anahitaji malezi ya baba na mama,
 
Dalili zako zinaonyesha sio nzuri,kuzaa mtoto haitoshi tu kumbuka mtoto anahitaji malezi ya baba na mama,

Kwani kakataa kulea mkuu? Kutoa malezi hakuna mahusiano na ndoa.Wangapi hawana ndoa lakini wapo responsible? Huhitaji kuwa na ndoa ili kumpa mtoto maelezi yanayopaswa kwa mtoto.Cha msingi kuwe na kuelewana na ushirikiano baina ya wazazi.
 
Mkuu wewe endelea na nia yako,wangapi wapo kwenye ndoa lakini hawana muda wa malezi kwa watoto wao.Ni mipango tu na makubaliano,binafsi naona inawezekana.Ndoa zenyewe zimekuwa za kinafiki tu ili kujipamba mbele ya jamii wakati kutwa ni michepuko na kulizana tu.
 
nashukuru kwa ushauri wako .......its realy true, wengi wapo/tupo kwenye ndoa lakini we really don't enjoy. Tunaishi maisha ya kinafiki daily.
Usidanganyike kuwa marriage is all about love but ALL ABOUT THE RIGHT COMBINATION because you can learn to love someone.
keep in touch buddy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom