Kuzaa bila ndoa sio fashen
Ni uzinifu
Ni dhambi
Ndio maana watoto wa mitaani/panyadiro hawapungui
TUOANE NDIO TUZALISHANE
huyu bwana kwanza afute kauli yake atafuta mwanamke wa kuzaa nae kwani mwanamke ni ng'ombe? umri wenyewe miaka 28 kijana mdogo anayetakiwa kuoa tena kwa arusi sasa uko kuzaa nje ya ndoa si niuzinzi?