Easy Chair Mark III
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 897
- 1,374
- Thread starter
- #21
Thanks
Thanks
Always Keep in mind that "not all truths are great truths even though ALL great truths are truths"Hivi kweli wanawake walivyo wengi mtaani mtu unaanzaje kukosa mtu wa kuoa hadi utoe matangazo? Utakua na mapungufu sehemu.!
[/QUOTE]Hivi ni kwa nini concentration za watu zimeanza kuelekezwa kwenye Id badala ya mada iliyopo mezani? Naombeni ufafanuzi wakongwe wa site hii, because I'm new here.
[/QUOTE]Tumia ID yako ya zamani mabinti watakuelewa tu.
shosti kwani unakwama wapi😂😂Shosti changamkia fursa[emoji6]
Inavyooekana kwa sasa watu hatuaminiani kwa kiwango kikubwa sana,Id yako imenipa mashaka nimegeuzia njiani
zooote yan ,,hapa tunachati huko kwa waziri mkuuNaona umemeet Specifications
mambo yanaenda kwa kasi sana ndomanaInavyooekana kwa sasa watu hatuaminiani kwa kiwango kikubwa sana,
Mkuu hayo hayatoshi, suala sio kupata mme tu....suala ni mme wanamnagani?....wewe sema kipato chako, umri wako, mali zako, elimu ako, unaishi mkoa gani.....Dada zetu walishachoka wanaume masikini wenye kujipa matumaini eti tutajenge pole pole, hayo halishapita nawakati maisha yenyewe mafupi unaweza ukajikuta nusu ya maishako unaishi kwenye umasikini na shida tu......
Usiogope comment za humu,we stick kwenye kile unakitafutaHivi ni kwa nini concentration za watu zimeanza kuelekezwa kwenye Id badala ya mada iliyopo mezani? Naombeni ufafanuzi wakongwe wa site hii, because I'm new here.
Usiogope comment za humu,we stick kwenye kile unakitafuta
Tatizo vigezo shosti😉shosti kwani unakwama wapi😂😂
Hata sijui wanakwama wapi mkuu kama hizo takwimu wanazo tumia kusemea zina ukweli sasa.Watu daily mnasema wanawake ni wengi kuliko wanaume lakini mabandiko kibao ya kutafuta wake[emoji22][emoji22][emoji22]