NATAFUTA MWANAMKE WA KUWA NAYE MAISHANI

NATAFUTA MWANAMKE WA KUWA NAYE MAISHANI

Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2019
Posts
897
Reaction score
1,373
Nawasalimu wadau, wote kwa ujumla popote pale mlipo.
Kama ambavyo ilivyo title ya Uzi huu hapo juu, inajieleza yenyewe waziwazi.Natafuta mwanamke wa kuwa naye maishani, awe na sifa zifuatazo:
1.Awe tayari kupima HIV, ajiandae vya kutosha kisaikolojia ktk hili.
2.Umri miaka 18-32, awe Mwafrika mweusi kiasili, asiwe Mzungu, mwarabu, n.k.
3.Awe na sifa za "mwanamke anayefaa kuolewa kwa ujumla" ( wife material) ambaye kwa hakika kutoka moyoni mwake "ana dhamira ya dhati ya uhitaji wa mume wa kuwa naye ktk maisha yake/ndoa"
4.Awe tayari kuwa na/au awe mkristo mkatoliki.
5.Awe na body size ndogo ya kawaida isiyozidi inchi 34(waist), asiwe mnene wala asiwe mrefu sana.
6.Awe mwanamke aliye serious na mahusiano ya kuelekea ktk ndoa, awe tayari kuwa "mke wa mtu", kwa lugha nyingine ni kuwa " awe tayari kuwa 'Makamu wa Rais' ambaye anatosha kabisa kuongoza "himaya"

Tafadhali, kwa aliyekidhi vigezo ani-pm kwa maelezo zaidi, na ili kufahamiana zaidi kwa undani.Akinitumia message tafadhali anieleze wasifu wake mfupi kuhusu yeye mwenyewe ( short introduction about herself)

NB: Sijaeleza baadhi ya masuala mengine fulani hapa kwa sababu maalumu.

Karibuni sana, kwa wale ambao wanahusika na suala hili.
 
Watu daily mnasema wanawake ni wengi kuliko wanaume lakini mabandiko kibao ya kutafuta wake😢😢😢
 
Mkuu hayo hayatoshi, suala sio kupata mme tu....suala ni mme wanamnagani?....wewe sema kipato chako, umri wako, mali zako, elimu ako, unaishi mkoa gani.....Dada zetu walishachoka wanaume masikini wenye kujipa matumaini eti tutajenge pole pole, hayo halishapita nawakati maisha yenyewe mafupi unaweza ukajikuta nusu ya maishako unaishi kwenye umasikini na shida tu......
 
Hivi kweli wanawake walivyo wengi mtaani mtu unaanzaje kukosa mtu wa kuoa hadi utoe matangazo? Utakua na mapungufu sehemu.!
 
Hawa wageni ndio wazuri sema hamjui tuu
Mkuu, hili ndilo kosa kubwa la kiufundi ambalo vijana wengi wanalikosea each and everyday...
Binafsi naamini angelitumia ID yake ile inayo julikana, basi wadada wenye kujielewa wangeamini kwamba jamaa yupo serious
 
Hivi ni kwa nini concentration za watu zimeanza kuelekezwa kwenye Id badala ya mada iliyopo mezani? Naombeni ufafanuzi wakongwe wa site hii, because I'm new here.[/QUOTE]
 
Mkuu, hili ndilo kosa kubwa la kiufundi ambalo vijana wengi wanalikosea each and everyday...
Binafsi naamini angelitumia ID yake ile inayo julikana, basi wadada wenye kujielewa wangeamini kwamba jamaa yupo serious

U turn za angani zimehusika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom