Natafuta mwanamke wa kupanga nae feture

Natafuta mwanamke wa kupanga nae feture

Mim mwanaume wa kitanzania umri 25yrs nimeajirwa serekalin mkristu.
MY FEATURES: whitecolour,long nose,shapen eyes,middle height and 72kg Weight

nahtaji msichana baadae aje kuwa mke wangu.Sina uwezo wa kipesa ila naamin kuptia yey together we can make it great!
PROPOSED FEATURES
*Awe mcha mungu mkristu ili tucje kuharbu iman ya watoto
*Umri miaka 19-23
*awe amejirwa au kujishgulsha na biashara ili kuweza kuongeza kipato
*Awe kabila lolote ili mradi awe undstnding
*Ukiwa na dread i wl be so much happy hata kama huna i wl make you so.(I'm not rasta in such but i love dreadwoman)
*Asiwe mweupe sana angalau maji ya kunde.

NB😛ROMILESS AND BEAUTIFF LIARS ARE NOT INVITED
kwa ambao mtapenda kampany AU una ndugu yako and she is lonely please msisite Kuni PM.
NIPO DAR.
Ahsanteni sana.

Man umuri wako na uzito haviendani punguza umantain 65kg.
 

Black+woman+with+locks.jpg
 
Back
Top Bottom