Natafuta mwanamke wa kuoa.

Mm ndugu yangu haya ndiyo maendeo au.Mchumba unatafuta kwenye mtandao.Ni vema ukatumia ndugu zako ambao ninaamini unao au hata rafiki zako. Wape ndugu/rafiki zako hizo qualifications kama nia yako ni njema kweli sio ku-sample tu.Mbinu unayotumia wewe itakupeleka pabaya au upate ukimwi au uoe jini.

hapan shakha,ushauri wako unafanyiwa kazi,
mhh,hivi ni kweli laweza patikana jini humu?,
 
Mm ndugu yangu haya ndiyo maendeo au.Mchumba unatafuta kwenye mtandao.Ni vema ukatumia ndugu zako ambao ninaamini unao au hata rafiki zako. Wape ndugu/rafiki zako hizo qualifications kama nia yako ni njema kweli sio ku-sample tu.Mbinu unayotumia wewe itakupeleka pabaya au upate ukimwi au uoe jini.

hii mbinu itanipeleka pabaya kivip wkt mi naamini all great thinkers wako hapa?
Ina maana kuna majini humu?
 
Mm ndugu yangu haya ndiyo maendeo au.Mchumba unatafuta kwenye mtandao.Ni vema ukatumia ndugu zako ambao ninaamini unao au hata rafiki zako. Wape ndugu/rafiki zako hizo qualifications kama nia yako ni njema kweli sio ku-sample tu.Mbinu unayotumia wewe itakupeleka pabaya au upate ukimwi au uoe jini.

nshawapata, sasa nafanya analysis ya standards zao,
mungu nisaidie yasije yakawa machunaji,au majini!,
ila mmoja nilipomwambia ishu ya kupima ngoma kaamua kuchapa lapa.
 
ni j'pil tulivu nyingine,muda kama huu wanajf mnajiachia maeneo yenu tofauti tofauti ya kujidai,
nawashukuru sana tena sana kwa ushirikiano wenu mlionipa ktk muda wote wa kumtafuta "a woman of my lyf" kupitia hapa jf.
Ndugu wapendwa,mlikuwa na mengi ya kufanya lkn mkaamua kusacrifice sehemu yenu ya hii limited resource i.e.'time' na kuidevote ktk ishu hii.thanx u a million.
Haikuwa kazi rahisi hata kidogo,japo bado haijakamilika.
Nimekutana na vikwazo kibao,maoni tofauti,pm za ajabu,nzuri na nyingine mhh,we acha tu!!,
lakini zote ni changamoto ambazo zimeniwezesha kuingia ktk hatua hii muhimu ktk kufunua ukurasa mpya wa maisha yangu.
Si rahisi kumshukuru mmoja mmoja wenu kwa mchango wake,na nadhan maneno hayatoshi kutoa shukrani zangu za dhati toka moyoni mwangu ila naomba tu kusema ahsanteni!,
nawapenda wote hasa wale 'cutes' walojitokeza kwa nia moja ya kutaka kuwa mwili mmoja nami,thanx a lot.
Walikuwa wengi ila wachache wao ndio waliobahatika kuingia final stage,
kesho nahitimisha baada ya kufanya nao usaili wa mwisho,
napenda kusema zoezi hili la kupokea maombi nimelihitimisha rasmi.
Maoni,ushauri,critics vyote navikaribisha!,
nawatakia wkend njema wana jf,
nawapenda wote hasa wewe unayesoma hii thread!,

nakushauri nenda kwenye makanisa ya kilokole mmademu kibao wanasubiri
 
habar zenu bana,
nilipotelea huko mwisho wa reli aka kigoma,
kusini mwa z.tanganyika twakuita buhingu,
nimerudi tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom