Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Uduvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
738
Reaction score
521
Wadau habari! Natafuta mwanamke mzuri wa mkoa wa mbeya. Awe chocolate colour, elimu kuanzia form six na kuendelea. Mim ni msc ya accounting n finance holder wa mzumbe niligraduate mwaka jana, kwa sasa nipo morogoro.

Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa maelezo zaidi. kwa alie tayari anipm tafadhari.

Lugha za kejeli na matuc sio mahala pake hapa
 
Jaman morogoro hamna chocolate colour mpk uje humu
 
Huna haja ya ku hangia.plz pita taratibu tu kama una pointless
 
Sio msiosoma mnahaha ni chaguo la mtu tu my dear.
 
H ata punda ni chocolete colour, tena kwa bahati zuri anakufaa sana wewe domo zenge uliyepandwa na yenge na kuishiwa ufahamu na kufikiri unaweza ukapata mwanamke through internet.

Usitafute matuc brother pita kimya kimya hujalazimishwa kuchangia.niache na domo zege langu plz.
 
Wadau habari! Natafuta mwanamke mzuri wa mkoa wa mbeya. Awe chocolate colour, elimu kuanzia form six na kuendelea. Mim ni msc ya accounting n finance holder wa mzumbe niligraduate mwaka jana, kwa sasa nipo morogoro.

Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa maelezo zaidi. kwa alie tayari anipm tafadhari.

Lugha za kejeli na matuc sio mahala pake hapa

We kwa hiyo humu ndio utapata mke? Hivi unaakili wewe? Na elimu yako yote hiy inakutuma kuwa humu ndo utapata mke? Unahitaji rafik wa kuchat au mke? Mana we inawezekana hujui unachonena, kwa ushaur wangu ni kuwa humu hupati mke kwa njia hiyo
 
Usitafute matuc brother pita kimya kimya hujalazimishwa kuchangia.niache na domo zege langu plz.

MKUU NIMEKUELEWA NA NINAOMBA MSAMAHA WAKO WA DHATI KWA KOSA NILILOLIFANYA. thanks
 
Walioko kwenye ndoa wanataka kutoka, walio nje wanataka kuingia. Mungu atakupatia mke mwema mkuu! Jipe moyo mkuu!!
Thanx buddy,but thats how life goes on,changes everyday
 
Wadau habari! Natafuta mwanamke mzuri wa mkoa wa mbeya. Awe chocolate colour, elimu kuanzia form six na kuendelea. Mim ni msc ya accounting n finance holder wa mzumbe niligraduate mwaka jana, kwa sasa nipo morogoro.

Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa maelezo zaidi. kwa alie tayari anipm tafadhari.

Lugha za kejeli na matuc sio mahala pake hapa

halafu wewe mkabila sana umeamua kuoa mbeya mwenzio. Kamata Mluguru huko huko Moro
 
Mokoyo namaanisha ndoa ina matatizo kila kukicha watu wanalia ndoa ndoa imewashinda. Ndo mana nikamshauri mleta uzi ajipe moyo atapata mke mwema toka kwa bwana, ni kweli mda mwingine mtu unataka kuoa/olewa haraka lakn huna wa kumuoa/olewa mwisho wa siku tunaambulia matatizo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom