Othman Qadir
Member
- Apr 19, 2024
- 25
- 62
- Thread starter
-
- #41
Ok sawa karibu mke wangu mpenzi. Njoo tujenge familia. Maisha ndio haya haya hakuna maisha mengine.npo ndan ya super rojas🤣 sjawah fka uko kwaio nkifka stand nakwambia ni gani aaaaiiiii 😂😂
Mi pia sipo daslam mkuu long pass siziweziHuyo ni Manzi wa Dar! Tayari anaona yupo nje ya ulingo. Anapatikana mitaa karibu na wewe hivyo changamkia hiyo fursa ndugu yangu
😂😂😂Oooyaaaa wana jamvi ebu anzeni kuimba basi ile ngoma ya janjarooOk sawa karibu mke wangu mpenzi. Njoo tujenge familia. Maisha ndio haya haya hakuna maisha mengine.
Ukifika mwanjelwa au kabwe nistue nije chap kukufuata
UKo sahihi mia.Kupata mwanamke ni rahis sana sikuhiz lakin kupata mwanamke Bora ni kitu kigumu mno kwenye kizazi hiki,sio Kila mwanamke ni mke na sio Kila mwanamke n wa kubanjuka nae
Na tutaendelea kuwakosa😅😅 hawataki joblessKazi ya kuniingizia kipato imenikosesha Mume..!
We ukuje bana acha maneno mambo mengine ni ya kuongea wahusika wawili kwa inbox ! So ukuje haraka nakusubiriaNa tutaendelea kuwakosa😅😅 hawataki jobless
Uneducated
Wanataka waajiriwa/waliojiajiri/walisoma
Kuna mwanamke hapa ana hizo sifa lakn hana mtoto nipo nae hapa kigomaAssalamualaikum Wana familia ya jf.
Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke mzuri na mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia miaka 23 na usizidi miaka 40.
Ukiwa singo mama basi usiwe na zaidi ya watoto watatu.
uwe na shuguli/ kazi ya kukuingizia kipato hata kama ni kidogo lakini sio mtu wa kukaa tu nyumbani 24/7 hapana.
Sibagui dini - sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu kikubwa ni upendo wa kweli, kuheshimiana na ku- focus maisha kwa pamoja.
Sifa zangu.
Nina miaka 40. Nina mtoto mmoja.
Nina uhitaji wa kweli.
Maisha ya mbeya ni rahisi sana, hivyo pamoja na kuhakikisha kuwa ndani Kuna kila kitu - Mchele, unga, mafuta, sukari, gesi ya kupikia, n.k bado mke atakuwa na bajeti ya ziada sh. Laki moja na nusu (150,000/=) average cost of 5,000/= per day kama Kodi ya mezani na inaweza kuongezeka kulingana na context.
NB: Najua wapo watakao kuja na kejeli kuwa hiyo pesa haitoshi lakini akiwa mwanamke ambaye hana mtoto hiyo pesa kwa hapa Mbeya mjini ni kubwa sana na maisha yatakuwa poa. Akiwa singo mama na yeye akiwa na kazi ya kuingiza kupato japo kidogo still hiyo fedha itakuwa na maana sana.
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka kila uchao na wala hamjui kesho yenu zaidi ya kutafuta pesa ya ugali, nauli ya daladala na Kodi ya chumba kimoja tena uswahilini.
MWANAMKE MWENYE NIA YA DHATI KARIBU SANA PM ,
NB : LOCATION - MBEYA MJINI, Kama upo very interested na upo nearby Mbeya ukija PM nyosha maelezo yako vizuri but sihitaji distance relationship.
Pia uwe ready kupima UKIMWI pamoja nawe mara TATU.
So unakuwa mshenga ama middle manKuna mwanamke hapa ana hizo sifa lakn hana mtoto nipo nae hapa kigoma
Acha kumpangia cha kuandika mkuu wewe kama huwezi kuolewa tulia waachie wengine.Ulitakiwa uandike tangazo bila kuattack wengine mkuu...ndiyo busara
Kwani Imamu ana stoo ya wanawake?Kwanini usiende msikitini uongee na imamu wako
Analyse mbona huyu mchumba ako simwelewi.Kazi ya kuniingizia kipato imenikosesha Mume..!
Subiri nafanya mchujo, lakini wewe tatizo ni single faza na kaburi la mshangazi sijalionaAisee hata Mimi nimeshindwa kumuelewa. Yani yupo na Mimi, lakini bado anazunguka kwenye nyuzi za wanaotafuta wake.
mchumba nafasi yangu ni ipi sasa? Au ndio unataka kunichezea? 🤷🤦
Sawa mkuuAcha kumpangia cha kuandika mkuu wewe kama huwezi kuolewa tulia waachie wengine.
Sijaelewa hapo kupima ukimwi mara tatuAssalamualaikum Wana familia ya jf.
Nina ishi mbeya mjini sehemu inaitwa Airport ya zamani.
Natafuta mwanamke anayejitambua na mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia.
Sifa zake
Awe mwanamke mzuri na mwenye hofu ya Mungu, umri kuanzia miaka 23 na usizidi miaka 40.
Ukiwa singo mama basi usiwe na zaidi ya watoto watatu.
uwe na shuguli/ kazi ya kukuingizia kipato hata kama ni kidogo lakini sio mtu wa kukaa tu nyumbani 24/7 hapana.
Sibagui dini - sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu kikubwa ni upendo wa kweli, kuheshimiana na ku- focus maisha kwa pamoja.
Sifa zangu.
Nina miaka 40. Nina mtoto mmoja.
Nina uhitaji wa kweli.
Maisha ya mbeya ni rahisi sana, hivyo pamoja na kuhakikisha kuwa ndani Kuna kila kitu - Mchele, unga, mafuta, sukari, gesi ya kupikia, n.k bado mke atakuwa na bajeti ya ziada sh. Laki moja na nusu (150,000/=) average cost of 5,000/= per day kama Kodi ya mezani na inaweza kuongezeka kulingana na context.
NB: Najua wapo watakao kuja na kejeli kuwa hiyo pesa haitoshi lakini akiwa mwanamke ambaye hana mtoto hiyo pesa kwa hapa Mbeya mjini ni kubwa sana na maisha yatakuwa poa. Akiwa singo mama na yeye akiwa na kazi ya kuingiza kupato japo kidogo still hiyo fedha itakuwa na maana sana.
Watu wa Dar mkae kwa kutulia hatutaki shobo maandazi - kujifanya mmepatia maisha kumbe mnateseka kila uchao na wala hamjui kesho yenu zaidi ya kutafuta pesa ya ugali, nauli ya daladala na Kodi ya chumba kimoja tena uswahilini.
MWANAMKE MWENYE NIA YA DHATI KARIBU SANA PM ,
NB : LOCATION - MBEYA MJINI, Kama upo very interested na upo nearby Mbeya ukija PM nyosha maelezo yako vizuri but sihitaji distance relationship.
Pia uwe ready kupima UKIMWI pamoja nawe mara TATU.
Analyse aisee huyu naona ata sumbua ukoo wetu😁😂.Subiri nafanya mchujo, lakini wewe tatizo ni single faza na kaburi la mshangazi sijaliona
Mimi sio wa kuwekwa kwenye mchujo 😎Subiri nafanya mchujo, lakini wewe tatizo ni single faza na kaburi la mshangazi sijaliona