Natafuta mwanamke wa kuoa

Tangoman

New Member
Sep 13, 2017
4
8
Habari bado sijampata mke wa kuoa, natafuta mke mwenye umri 18-28. Sina ubaguzi wa Elimu yake, kabila, Wala dini.

Mimi ni mkristu, Elimu ya Chuo Kikuu, mwajiriwa, naishi Dar kwa Sasa

Karibu PM kama upo serious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom