Habari, natafuta mke wa kuoa,naishi Dar Kwa Sasa,mwenye umri wa 36, sina ubaguzi wowote karibu sana, ni pm Kwa mwenye uhitaji.
Unajua yeye ana miaka mingapi ?[emoji1]Miaka 36 huyo si ajuza?? Utampleka wapi sasa. Yani unamlipia mahari mtu 36 age?
Mtu wa mika 36 analipiwa mahari???Unajua yeye ana miaka mingapi ?[emoji1]
Hata kamaaaaaMtu wa mika 36 analipiwa mahari???
Ngoja na mm nioe nisije anza kusaka wake mitandaini
Unataka alipiwe nini ?? Kumbe mahari inalipwa kwa under 18 au?
Huyo mwanamke wa 36 lazima atakua kajikatia tamaa. Yani kumuoa ndo muujiza wake. Ni issue ya kushika mkono na kumuweka ndani.
Hamna haja kuhangaika
Haya tunaitaga majibu makubwa makubwa!Miaka 36 huyo si ajuza?? Utampleka wapi sasa. Yani unamlipia mahari mtu 36 age?
Hahahahahaha mkuu umenichekesha sanaHuyo mwanamke wa 36 lazima atakua kajikatia tamaa. Yani kumuoa ndo muujiza wake. Ni issue ya kushika mkono na kumuweka ndani.
Hamna haja kuhangaika
Hata akiwa 50 Mahari lazima ilipwe.Miaka 36 huyo si ajuza?? Utampleka wapi sasa. Yani unamlipia mahari mtu 36 age?