Natafuta mwanamke wa kuoa

Duuuuh aiseee hali ni mbaya.
Watu wameambiwa waende PM lakini wameamua kuchangamkia fursa hapahapa jukwaani,sipatii picha huko PM!

Nyie wanaume mnaotafuta wanawake humu (hasa mnaosema mnataka kuwaoa) muwe serious jamani,msicheze na mioyo ya dada zenu.

Sijaongelea upande wa wanawake maana daima sisi huwa tunamaanisha,sidhani kama kuna mwanamke anayeweka thread ya kumtafuta mume akawa hayupo serious.

im very serious
 
umofia kwenuuu....

Jaman naitaji mwanamke ambae atakuwa Tayari tuishi Pamoja as soon as possible sifa zake
1 mweupe
2 mwenye kamwili kidogo
3atleast awe na kazi anafanya asiwe wa kukaa home tu
4 awe tayari tuishi pamoja

mdada mwenye hizo sifa please nitumie msg then tumeet na kuongea
km wote mtaenda kazini upo tayari kupanga ratiba ya kupokezana (kusaidiana) kazi za ndani?

mfano kufua, kuosha vyombo, kudeki, kupija, kupiga pasi nguo n.k
 
km wote mtaenda kazini upo tayari kupanga ratiba ya kupokezana (kusaidiana) kazi za ndani?

mfano kufua, kuosha vyombo, kudeki, kupija, kupiga pasi nguo n.k

yes bila shida, im okay with that
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom