Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

katoko

Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
18
Reaction score
6
Hellow,

Naitwa Patrick wa Dar natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo;
Mvumilivu, mpole, mtiifu, mcha mungu, sina ubaguzi wa kabila wala dini, elimu, hata akiwa na mtoto sio mbaya, umri kuanzia 25-30, dini yeyote, mimi umri wangu ni miaka 32,dini mkristu, elimu chuo kikuu.

Asanteni sana, ni pm kwa mawasiliano zaidi.
 
Mi nataka kuole, ila ngoja kwanza nikuulize kitu. Una hela mkuu? Maana nina sifa zote ila tatizo napenda hela!
 
edit utoe neno dar hilo. la cnlvo viees watakuwa wengi PM utaambulia patupu.
 
Wasifu wa Patrick wa dar!!!!!
Nimecheka sana tafadhali malaika njoo ufunge hii mitandao vijana wamekuwa weupe vichwani
 
Hellow ,naitwa Patrick wa dar natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo, mvumilivu, mpole, mtiifu, mcha mungu, sina ubaguzi wa kabila wala dini, elimu, hata akiwa na mtoto sio mbaya, umri kuanzia 25-30,dini yeyote, mimi umri wangu ni miaka 32,dini mkristu, elimu chuo kikuu, asanteni sana, ni pm kwa mawasiliano zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom