Wille phestoh
Member
- Oct 6, 2016
- 7
- 0
Mimi ni kijana nina miaka 27 npo Dodoma ni mfanyabiashara wa kawaida natafuta mwanamke wa kweli wa kuoa mwenye mapenz ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao wameumiza sana moyo wangu kwa kipind kirefu sasa natafuta wa kweli wa kuoa umri miaka 25 mpaka 22 aliye tayar anitafute namba 0716693929 Asante.

