Half B Member Joined Sep 12, 2016 Posts 30 Reaction score 12 Oct 14, 2016 #1 Mimi ni kijana wa miaka 31, nimwajiliwa serikalini, nahitaji mwanamke wa kuishi naye kama mke. Sifa; 1.Mrefu 2.Mweupe 3.Mcha Mungu 4.Awe tayari kuishi mazingira ya kijijini kwa wakati huu. Aliye tayari ani pm kwa mawasiliano zaidi.
Mimi ni kijana wa miaka 31, nimwajiliwa serikalini, nahitaji mwanamke wa kuishi naye kama mke. Sifa; 1.Mrefu 2.Mweupe 3.Mcha Mungu 4.Awe tayari kuishi mazingira ya kijijini kwa wakati huu. Aliye tayari ani pm kwa mawasiliano zaidi.