Natafuta mwanamke wa kuanzia miaka 35 - 45

Natafuta mwanamke wa kuanzia miaka 35 - 45

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,280
Reaction score
7,774
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kawaida. Naishi DSM. Nahitaji mwanamke mwenye umri tajwa hapo juu.

Mwanzo nilikuja na tangazo la kutafuta mwanamke ambaye hataki kuzaa au anamatatizo ya uzazi ili kuwa naye, naona wote humu wanauzazi. Leo nimekuja na hili nikiwa naamini lazima atajitokeza yule wa maisha yangu.

Vigezo vya mwanamke huyo ninauemhitaji,

Kwanza kabisa ni umri tajwa hapo juu (35 - 45) yrs

Pili awe mwenye kujishughulisha na kazi yoyote ya kipato halali isipokua kujiuza mwili wake.

Tatu awe na mwonekano mzuri ambao hata nikienda kwa wazazi hawata uliza uliza mara mbili.

Nne awe mwenye kujiheshimu na kuheshimu wengine.

Lengo la kutafuta mwanamke aliyenizidi umri ni kwasababu sipendi mikwaruzo pamoja na mizozo kutoka kwa wasichana wadogo. Ninachoamini ni kwamba mwanamke aliyenizidi umri atakua mwongozo na mlezi mzuri kwangu. Hivyo heshima itakuwepo kati yetu.

Mawasiliano yangu ni 0719094595

Pm hazifunguki hivyo ni bora kupiga simu moja kwa moja au meseji au whatsap.

Karibuni sana.
 
Dah!! Mm kipengele cha kumzidi mwanaume umri ndo kitanifanya nife alone!! HUKU NI KULEANA LTD!
 
una maana gani kutaka wanawake wa umri wa mama zako wadogo!yan una 28 afu unatafta wa miaka 45?,ww nyimbo ya FRANCO LWAMBO ya Mariooo inakuhusu!
Labda nikuulize wewe una umri gani kabla sijakujibu maana hizi ni tabia za vivulana ku quote upumbavu
 
Dah!! Mm kipengele cha kumzidi mwanaume umri ndo kitanifanya nife alone!! HUKU NI KULEANA LTD!
Kila mtu ana mipango yake ya maisha. Kama wewe hupendi kuna wanaopenda. Huwez jua situation za maisha niliyopitia. Kwahiyo unapokuta post kama hzi uwe unazipitia mita 1000
 
Kila mtu ana mipango yake ya maisha. Kama wewe hupendi kuna wanaopenda. Huwez jua situation za maisha niliyopitia. Kwahiyo unapokuta post kama hzi uwe unazipitia mita 1000
mtoa mada mbona kama una hasira hivyo....

Btw mimi kuna 34 naweza piga simu
 
Ukiweka post humu punguza panic ww unahisi ulichopost ni kitu rahisi? Tulia wajitokeze ulelewe nipite mita 1000 ww ni mmiliki wa jf??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom