Natafuta mwanamke wa kike baadaye Awe mke wangu.

Wadada masingo mnahitajika huku haraka, msiogope sifa za ukanda zilizotajwa hapo ni za ziada tu hata kama wewe ni wa Morogoro utafikiriwa tu.
 
Hivi kuna wanawake wa kiume ?
 
Una tafuta mwanamke wa kike... ngoja waje
Naona anachomaanisha ni kuwa hataki mwamke ambaye atakuwa kama dume ndani ya nyumba au Alpha female. Yani mnakuwa wanaume wawili kwenye nyumba kila mtu ana sauti!
 
Kuna mwamke wa kiume?
 
Nimeshangaaa sana tu, hyo inaonesha hamna kitu anachohitaji kwa vile hajui hata anataka nn huyu
Hata mwanamke wa kike anayemtafuta sidhani kama atampata kama anapanic hivi kwenye keyboard tu, je akikutana nae uso kwa uso si atamkimbia ?
 
Wanawake wa kike wapo wengi tu, utapata chaguo lako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…