hiyo PM nimetuma
wengine wablock basi.
hiyo PM nimetuma
wengine wablock basi.
Unauliza mbona hujasema kama umeoa au hujaoa? Kwanini unaficha?
hiyo PM nimetuma
wengine wablock basi.
Jeez,i always thought u were a guy!
Macho unayo au ni kipofu? Unapokuwa huko UK na USA wanawake huwaoni? Au msamiati ni haba mpaka utumie JF?
Macho ninayo lakini kwakweli huwezi kufahamu kama huyu anatoka wapi na je, yuko huru kwa maana hajaolewa au la. Unajua huwezi kumparamia mtu hadi muwe mmeongea. Huku kila mmoja yuko buze ni ngumu kupata mwanamke huku.
Hebu kuwa serious basi Jamani!!!!!!