Natafuta mwanamke mwenye shepu nzuri

Tulivyokuwa Form one tulifundushwa mambo ya CHEMICAL CHANGE na PHYSICAL CHANGE ambapo kuhusu unene ni physical change ambapo mtu linaweza kalio linaweza likaongezeka pia likapungua, kwa mtindo huu likipungua sijui itakuaje sasa au atamwacha?
Nta balance equation kadri su zinapo songa
 
hii thread nataman niwe nimeiweka mimi mana ndo ugonjwa wangu...napenda sana mwanadada wa shep hyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…