Natafuta mwanamke mtu mzima

Natafuta mwanamke mtu mzima

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,405
Reaction score
11,196
Wadau,

Mimi natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 hata kama ana mtoto/watoto sawa tu tuanzishe mahusiano maana naona hawa wasichana wadogo wananisumbua tu bado hawajamaliza usichana. e-mail yangu andreakalima@gmail.com
 
Wadau, mimi natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 hata kama ana mtoto/watoto sawa tu tuanzishe mahusiano maana naona hawa wasichana wadogo wananisumbua tu bado hawajamaliza usichana. e-mail yangu andreakalima@gmail.com

Wewe mwenyewe una umri gani? nyie ndio mnatumwa na waganga mkachungulie mlikotoka ili mfanikiwe maisha. Upuuzi mtupu fanya kazi ya halali kwa juhudi na maarifa.
 
Distazo
Sitafuti mwanamke wa kunipa hela maana hata mimi ninazo za kunitosha na familia nitakayokuwa nayo. nina kazi nzuri & biashara ya kuniongezea kipato Natafuta mwanamke mwenye upendo wa kweli na aliyetulia. Kwangu mimi umri wa mwanamke ni kigezo kimojawapo (above 35 years) usinilazimishe nitafute kwa vigezo vyako
 
Jibu swali una umri gani?
 
hako kajamaa katakuwa na miaka kati ya 55 na 60 kanaogopa kuitwa babu, harafu katakuwa kana matatizo ya kisaikolojia ndiomaana hakajiamin. kama uko DAR nenda ambianse wamejaa tele au ohio street. hapa kwa wasomi CV muhimu pia kujiamin!
 
Wewe mwenyewe una umri gani? nyie ndio mnatumwa na waganga mkachungulie mlikotoka ili mfanikiwe maisha. Upuuzi mtupu fanya kazi ya halali kwa juhudi na maarifa.

unachoongelea mbona hajasema y anatafuta na afadhali amekujibu vizuri, sidhani kama age yake inaleta tabu, ungemuelewa ungepata tafsiri fasaha ya yeye kuuliza kuliko kudandia kitu tofautiiiiiiiiii.

duh kazi ipo subira na kuelewa kilichoandikwa kinasaidia maishani jamani na sio kudakia tuuuu.
 
Don't give'up Man on that road there so many challenges ikiwa hauna Moyo wa plastic High way Haufiki. Nafikiri unanisoma.
 
Distazo
Sitafuti mwanamke wa kunipa hela maana hata mimi ninazo za kunitosha na familia nitakayokuwa nayo. nina kazi nzuri & biashara ya kuniongezea kipato Natafuta mwanamke mwenye upendo wa kweli na aliyetulia. Kwangu mimi umri wa mwanamke ni kigezo kimojawapo (above 35 years) usinilazimishe nitafute kwa vigezo vyako
Hii ndiyo maneno. Umri huo wanawake wengi wanakuwa wamepunguza usumbufu.
 
Wasichana wanakuzingua au wamekustukia? Kama wewe ni mzee mwenzangu hata kama una vijisenti vyako bado huwezi kwenda nao kisaikolojia. Na kama unavitumia vijsenti kuwapata nao wanaweza kukupata na kuvitafuna halafu na kukushiti.
 
pole, hata sie wazee wasumbufu
imagine ukutane na mie, si nitakulaza barazani.
 
Pole ndugu, tulia tu .....Open your vision your eye will see
Ndugu watoto wetu wako hivyo ........no commitment at large, just experimental hadi yawakute makubwa ,
Your option can solve but GOD must be in control,
or the Devil can camouflage into 35 yr rational being and enslave you.
 
Found finally solution instead of debating kazee kana bwata under ages wame mpa mtiani.
 
Mbona hujataja umri wako? au ndo wale wale wanaotaka kulelewa "serengeti boys"
 
ama kweli vice versa is true,wengine wanachoka na huyu wengine na hawa
 
Im living in arusha with frequent between Dar and Arusha. Mind u sitafuta mwanamke huyu ati anipe pesa mimi nina maisha ninayojitegemea so natafuta love sio pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom