ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Mar 27, 2015 #21 kumbe unajua sana aiseee huyo kijana ana matatizo ya kiakili ni bora aende kupimwa akili zimeshadata sasa Excel said: Bora urudi Jela! Thread umekopi kutoka kwa hussein machozi na wimbo wake wa bora agende jeila! Click to expand...
kumbe unajua sana aiseee huyo kijana ana matatizo ya kiakili ni bora aende kupimwa akili zimeshadata sasa Excel said: Bora urudi Jela! Thread umekopi kutoka kwa hussein machozi na wimbo wake wa bora agende jeila! Click to expand...
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Mar 27, 2015 #22 Nimepita nikisoma comment nimeishia kucheka tu Lol!
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,055 Reaction score 110,674 Mar 27, 2015 #23 Hii dunia ina mambo mengi watu huyapitia ambayo wasioyapitia huona kama vile wanaoyapitia wanaleta drama, usimuhukumu mtu na mapito yake,ukiweza mshauri ukishindwa pita uende.
Hii dunia ina mambo mengi watu huyapitia ambayo wasioyapitia huona kama vile wanaoyapitia wanaleta drama, usimuhukumu mtu na mapito yake,ukiweza mshauri ukishindwa pita uende.
C cool d JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 1,741 Reaction score 1,754 Mar 28, 2015 #24 Mmmmmmmmmmmh!