Habari,
Natafuta mwanamke wa kuoa mwakani,elimu yangu ni shahada ya biashara (uhasibu),naishi Dar umri wangu ni miaka 31.nimtakae awe na miaka 25-33,awe mweupe,asiwe na mtoto,elim shahada,mwenye mapenzi ya dhati na mvumlvu,ambae anahofu ya mungu,alie jiajiri au kuajiriwa nahitimisha.
Karibu sana