Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Mbona wapo wengi sana hasa hao ambao hawajaolewa?
Umekuwa mkristo! !?
Halafu tunaweza kujua hyo mkeo mmeshindwana bnn hasa?
Kuwa makini msije kugawana virusi[/QUOTE]
Hivi kumbe bado vipo? you must be joking!
Ukikosa nita volunteer
Wa hivyo siku akielewana na mke wake mbona utajutaaaaa
Maisha na huyu mke wangu yamenishinda kabisa, ila bado nahitaji mahusiano na mwanamke. Natafuta mwanamke ambaye hana mume kwa sasa umri above 27yrs ili tuanzishe mahusiano, umri wangu ni >27 < 48yrs.........ndoa yangu hii ilifungwa Kiislamu ingawa sasa mimi ni mkristo.
Karibu