Natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa

Natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa

Gilka

Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
39
Reaction score
5
Natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa . Awe na sifa zifutazo:

1.Awe anaishi Arusha au anafanya kazi Arusha.
2. Awe mcha Mungu(Mlokole atapewa kipaumbele.
3.Awe na kazi ya kueleweka(Mwalimu atapewa kipaumbele)
4. Kuanzia miaka 21 hadi 26
5.Awe tayari kutoa ushirikiano wa aina yoyote ili baadaye tuwe na familia bora zaidi.

Aliye tayari ani PM ili tuanze mchakato wa kufahamiana zaidi.
 
Dah, inaonekana wanawake waalimu tunapendwa sana. !!!! Asante loan board ulinifanya nisomee ualimu.
 
Bado Mungu hajaniletea. But hope dat yupo sehem Fulani ila hatujafahamiana tu. Time will tell.

Si amekuletea huyo mwalimu mwenzio anayetafuta au unataka akuletee vipi tena?
 
Vivac hebu tuwasiliane kwa kufahamiana zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom