Natafuta mwalimu wa gitaa Dodoma

Natafuta mwalimu wa gitaa Dodoma

A teller

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2018
Posts
531
Reaction score
724
Wakuu nadhani mu wazima
natafuta mwalim wa mziki anayejua kupiga gitaa vizuri,gitaa la galaton (aquatics guitar) nipo dodoma wakuu namba zangu ni 0758461664
 
Huna haja ya mwalimu, ingia youtube tafuta tutorial za dr ng'umbi hassanal, jamaa naelekeza vizuri sana, key zote, tutorial ni za kiswahili
 
ok ngoja nimtafute mkuu
 
Huna haja ya mwalimu, ingia youtube tafuta tutorial za dr ng'umbi hassanal, jamaa naelekeza vizuri sana, key zote, tutorial ni za kiswahili
Unaziba riziki za watu na wewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom