Natafuta mwalimu wa boxing

Natafuta mwalimu wa boxing

mwakyindi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
1,627
Reaction score
2,212
Habar wakuu,

Napenda sana mchezo wa boxing, hivyo natafuta mwalimu wa kunifundisha boxing ili nitimize ndoto yangu. Naamini humu nitampata mwalimu.

Nina miaka 27, nina urefu wa futi 6, pia nafanya sana mazoezi. 0653935516
 
Krav maga for life!!!

Ukija kwa pupa nakutengua goti chap
 
wakati huo mawe yanakua hayapo?
Ni sehemu pia ya Krav maga. Ukumbuke Krav maga sio "martial" art, bali "An art of self self defence"

Ukiokota jiwe na mimi naokota jiwe
 
Mie natafuta mwalimu wa tennis anifundishie mwanangu Ni wa kike.
 
Habar wakuu,

Napenda sana mchezo wa boxing, hivyo natafuta mwalimu wa kunifundisha boxing ili nitimize ndoto yangu. Naamini humu nitampata mwalimu.

Nina miaka 27, nina urefu wa futi 6, pia naf
Habar wakuu,

Napenda sana mchezo wa boxing, hivyo natafuta mwalimu wa kunifundisha boxing ili nitimize ndoto yangu. Naamini humu nitampata mwalimu.

Nina miaka 27, nina urefu wa futi 6, pia nafanya sana mazoezi. 0653935516
Njoo inbox mzee
anya sana mazoezi.
 
Anzia kwanza YouTube wakati ukiendelea kusubiria mwalimu.....utajifunza sheria zote.
 
Bongo kuna walimu wa krav marga au labda gym na dojo wanazofundisha hii art ?? Krav maga ni kiboko
Krav maga ndio namba 1 katika list yoyote ya sanaa zilizo hatari zaidi ya kujihami
 
Habar wakuu,

Napenda sana mchezo wa boxing, hivyo natafuta mwalimu wa kunifundisha boxing ili nitimize ndoto yangu. Naamini humu nitampata mwalimu.

Nina miaka 27, nina urefu wa futi 6, pia nafanya sana mazoezi. 0653935516

Kwa nini "unafanya sana" mazoezi?

Kula unakula vizuri?

Muda wa kurecover mwili upo?

Sheria za boxing unazijua?

Historia ya ngumi bongo na duniani unaijua?

NB: Una bima ya afya?

Ukiviweza hivi basi utakua vizuri!
 
Kwa nn umemuuliza kama ana bima ya afya mjomba hahahahahaha
 
Mkuu, hizi ngumi zina mambo yake asee kama usipocheza karata zako vizuri unaeza pigwa kama ngoma ukahitaji matibabu na huna pesa inakua ngumu...ukiwa na bima angalau unaeza pata matibabu sawa
 
Hahahahahah bima ya afya muhimu aseeh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom