Eldorah2013
Senior Member
- Aug 6, 2013
- 119
- 61
mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nlitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio jf, aliye tayari please njoo pm tuzungumze. kama hauna la maana pita tu. mwanaume ninayemtaka awe kuanzia 34-45.
nitashukuru kama matusi na kejeli havitajitokeza hapa.
hivi umeelewa uzi vizuri? anatafuta mume na si kaziUna Elimu gani?na kama huna Elimu ni bora utafute kozi kisha uje.
swissme
Una Elimu gani?na kama huna Elimu ni bora utafute kozi kisha uje.
swissme
mimi ni mwanamke, nina mtoto mmoja i am 32, nlitengana na mume kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia jf kutafuta mwenza maana walio mtaani ndo hawa hawa walio jf, aliye tayari please njoo pm tuzungumze. kama hauna la maana pita tu. mwanaume ninayemtaka awe kuanzia 34-45.
nitashukuru kama matusi na kejeli havitajitokeza hapa.
Soma post vizuri ukielewa rudi tena.
ushauri, maneno ya hekima na busara havina uhusiano na elimu ila, elimu unayoisemea sijui ni ipi kwa uelewa wangu hata elimu ya msingi ni elimuHili suhala la elimu tunalichukulia mzaa, huyo anaeuliza hapo,
Unakuta anandugu wanaomtegemea na kumuona Kama mshauri wao.