M mamaasasha Member Joined Jul 19, 2015 Posts 9 Reaction score 2 Nov 7, 2015 #1 Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo
Dj mat JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 747 Reaction score 476 Nov 7, 2015 #2 Dah!kwa sentensi moja tu unatafuta mume?subiri watakuja
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,631 Reaction score 11,890 Nov 7, 2015 #3 We me au ke?
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Nov 7, 2015 #4 mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... unawatoto wangapi? je uko tayari kuwa mke wa tatu...
mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... unawatoto wangapi? je uko tayari kuwa mke wa tatu...
niachiemimi JF-Expert Member Joined Feb 18, 2015 Posts 3,657 Reaction score 5,409 Nov 7, 2015 #5 tupo ila tunaogopa maana haya mambo ya mitandao kwenye ishu nyeti kama hiyo, inahitaji umakini kweli kweli sio kwa muoaji tu bali hata kwako.
tupo ila tunaogopa maana haya mambo ya mitandao kwenye ishu nyeti kama hiyo, inahitaji umakini kweli kweli sio kwa muoaji tu bali hata kwako.
M MZALENDO NO.1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 302 Reaction score 134 Nov 7, 2015 #6 mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Mimi ndo mumeo, njoo nyumbani tuishi, ni pm
mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Mimi ndo mumeo, njoo nyumbani tuishi, ni pm
Unbelievable JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 262 Reaction score 115 Nov 7, 2015 #7 mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Kama uko siriaz ni pm tafadhali.
mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Kama uko siriaz ni pm tafadhali.
F frank5 Member Joined Nov 5, 2015 Posts 25 Reaction score 3 Nov 8, 2015 #8 mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Inamaana akija yeyote mwenye umri huo atafaa? Imekuwa general sana unaweza onekana haupo serious
mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Inamaana akija yeyote mwenye umri huo atafaa? Imekuwa general sana unaweza onekana haupo serious
skfull JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 2,944 Reaction score 2,385 Nov 8, 2015 #9 BigBro said: We me au ke? Click to expand... Jamani me ameanzalini kutafuta Mume huku tena?
lopinavir Senior Member Joined Jul 11, 2015 Posts 188 Reaction score 122 Nov 8, 2015 #10 mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Nitafute mimi niwe mumeo!
mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Nitafute mimi niwe mumeo!
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,922 Reaction score 4,715 Nov 8, 2015 #11 Utaki serengeti jamanii
R rashidforeseerer JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 1,000 Reaction score 440 Nov 8, 2015 #13 mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Nimeokoka wew umeokoka? Changamka chap nione kama tutaendana. Ni pm chap
mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Nimeokoka wew umeokoka? Changamka chap nione kama tutaendana. Ni pm chap
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,758 Reaction score 39,493 Nov 8, 2015 #14 Unatafuta mume au mwanaume......?????
KINGSLEE JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 838 Reaction score 1,058 Nov 8, 2015 #15 mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Sorry embu ni Pm tuwasiliane vizuri BT kupima afya zetu mi muhimu
mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Sorry embu ni Pm tuwasiliane vizuri BT kupima afya zetu mi muhimu
irakiza Member Joined Jan 26, 2015 Posts 99 Reaction score 20 Nov 8, 2015 #16 mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Haya ntakutafuta
mamaasasha said: Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo Click to expand... Haya ntakutafuta
M mamaasasha Member Joined Jul 19, 2015 Posts 9 Reaction score 2 Nov 9, 2015 Thread starter #19 Me atatafta veepee mme tena me so shoga bana me ke mme mwislam nataka
M mamaasasha Member Joined Jul 19, 2015 Posts 9 Reaction score 2 Nov 9, 2015 Thread starter #20 Natafta mume weee kikulacho