Natafuta mume

Miaka 45? Baada ya miaka 10 mnaanza kula pension ya uzeeni.
 
umetumikaaa ndo unakumbuka sasa
 
ina maana wewe utakuwa na 40 or
1st QST : mjane
2nd QST : km sio mjane ulikuwa wapi muda wote huo
 
Ni vigumu kupata watu wa miaka 45 humu. Labda waandishi wa habari
 
Ushauri wa bure
Sema una umri gani,familia kama una watoto,unaishi wapi,kazi yako,elimu yako,urefu,umbile kama mnene au modo,kabila ila sio lazima,kisha taja sifa ya huyo babu unaemtaka.

45 imekaa mbali sana,aisee.

kama haitoshi aweke picha kabisa
 
I see. Kwani huyo mmama hahitaji kupooza nafsi yake? Afu kuna vijeba humu sema havitaki kutaka umri...
Mungu akupe hitaji la moyo dada.
 
Natafuta mume wwema, awe mtu anayempenda Mungu, miaka 45, awe msomi kiasi na awe Mkatoliki.

najisikia vibaya nikiiona hii post na zingine zinazofanana na hizi!!
nani kakwambia kwenye mitandao kuna mme mwema/mke mwema??????????
 
najisikia vibaya nikiiona hii post na zingine zinazofanana na hizi!!
nani kakwambia kwenye mitandao kuna mme mwema/mke mwema??????????

Utakaa hivyo hivyo kuna watu Kibao wanakutana kwenye mitandao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…