lara 1 JF-Expert Member Joined Jun 10, 2012 Posts 15,700 Reaction score 29,190 May 8, 2015 #21 Mmmmmmh1
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,844 Reaction score 52,251 May 8, 2015 #23 njoo nikupe wangu.
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,153 May 8, 2015 #24 natoka hapa said: Duh hiyo age unayotaka mbona balaa 45years!!! Click to expand... wapo wagane.
NDAGLA JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 2,490 Reaction score 1,357 May 8, 2015 #25 Ndo raha ya kuwa mwanaume. Miaka 45 bado mtaani most wanted tofauti na upande wa pili.
kipps Senior Member Joined Jan 2, 2014 Posts 180 Reaction score 109 May 8, 2015 #26 Ila jaman watu wazima wana raha yk wale ambao wanajua kutunza maisha wameshayajua vinaja pasua kichwa
Ila jaman watu wazima wana raha yk wale ambao wanajua kutunza maisha wameshayajua vinaja pasua kichwa
panga wa panga Member Joined Jan 21, 2015 Posts 23 Reaction score 3 May 8, 2015 #27 Una hamu ya kukaa eda siyo
xuxu meyu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 426 Reaction score 370 May 8, 2015 #28 Apologise lady said: Miaka 45????????????????? mbona utawahi kuwa mjane hivo, khaa!!!!!!!! mmh!!!!!!! haya Asprin kuja huku. Click to expand... Acha kumtania mwenzio kwa hiyo huyo asprin ndio anamiaka 45? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Apologise lady said: Miaka 45????????????????? mbona utawahi kuwa mjane hivo, khaa!!!!!!!! mmh!!!!!!! haya Asprin kuja huku. Click to expand... Acha kumtania mwenzio kwa hiyo huyo asprin ndio anamiaka 45?
TIASSA JF-Expert Member Joined Jun 17, 2014 Posts 3,103 Reaction score 3,950 May 8, 2015 #29 Helloooo....... Is me you looking for
baby boy17 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 297 Reaction score 117 May 8, 2015 #30 ng'asti said: me sina miaka hiyo ila kama natamani mxigo Click to expand... Mxigo ndo nini... ama utoto unakusumbua
ng'asti said: me sina miaka hiyo ila kama natamani mxigo Click to expand... Mxigo ndo nini... ama utoto unakusumbua
Apologise lady JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 5,980 Reaction score 3,115 May 8, 2015 #31 xuxu meyu said: Acha kumtania mwenzio kwa hiyo huyo asprin ndio anamiaka 45? Click to expand... We! we! we! we!!!!!! usinitafutie kesi, mimi nimwita aje atoe msaada kwenye tuta, si unajua mtu mzima dawa.
xuxu meyu said: Acha kumtania mwenzio kwa hiyo huyo asprin ndio anamiaka 45? Click to expand... We! we! we! we!!!!!! usinitafutie kesi, mimi nimwita aje atoe msaada kwenye tuta, si unajua mtu mzima dawa.
Ty_Vigilante JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 2,890 Reaction score 2,460 May 8, 2015 #32 mimione said: Natafuta Mume wwema. awe mtu anayempenda Mungu, miaka 45, awe msomi kiasi na awe mkatoliki Click to expand... You'll get trust me....... Men wanna buggy just be available...
mimione said: Natafuta Mume wwema. awe mtu anayempenda Mungu, miaka 45, awe msomi kiasi na awe mkatoliki Click to expand... You'll get trust me....... Men wanna buggy just be available...
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,812 Reaction score 15,555 May 8, 2015 #33 Asabaya said: Mmmm45 Shosti una moyo wewe, 45 mambo Ya kuchukuana na moov katikati ya show msulii umekamata Haya Lakini Una sababu zako ..... Click to expand... Halafu weweee wajuaje kama na yeye ana 40
Asabaya said: Mmmm45 Shosti una moyo wewe, 45 mambo Ya kuchukuana na moov katikati ya show msulii umekamata Haya Lakini Una sababu zako ..... Click to expand... Halafu weweee wajuaje kama na yeye ana 40
Manga ML JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 9,812 Reaction score 15,555 May 8, 2015 #34 Apologise lady said: Miaka 45????????????????? mbona utawahi kuwa mjane hivo, khaa!!!!!!!! mmh!!!!!!! haya Asprin kuja huku. Click to expand... Kwani yeye kataja umri wake? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Apologise lady said: Miaka 45????????????????? mbona utawahi kuwa mjane hivo, khaa!!!!!!!! mmh!!!!!!! haya Asprin kuja huku. Click to expand... Kwani yeye kataja umri wake?
George J Minja JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 289 Reaction score 203 May 8, 2015 #35 Ukiona au kusikia mwanamke anasaka dume lenye 45 yrs ujue msakaji nagonga fifty.Bibi saka babu kimya kimya sio lazima uje hapa.
Ukiona au kusikia mwanamke anasaka dume lenye 45 yrs ujue msakaji nagonga fifty.Bibi saka babu kimya kimya sio lazima uje hapa.
chinekeeee JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 1,787 Reaction score 2,896 May 8, 2015 #36 gar bovu huvutwa na zima hope umenielewa
innocentmollel JF-Expert Member Joined Sep 11, 2014 Posts 1,702 Reaction score 750 May 8, 2015 #37 Mm ninaa.miakaa hyooo ilaa cna kazii ilaa pesaa ninazoo na cjaoa nipoo singlee km vp n pm nipoo namaanishaa
Mm ninaa.miakaa hyooo ilaa cna kazii ilaa pesaa ninazoo na cjaoa nipoo singlee km vp n pm nipoo namaanishaa
GHIBUU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 4,432 Reaction score 3,016 May 8, 2015 #38 Unataka urithi lol 😁
mycall JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 867 Reaction score 523 May 8, 2015 #39 Tufahamu yafuatayo 1. Umri wako 2. Elimu yako 3. Kazi yako 4. Asili/kabila 5.mtaraka au mjane 6.Ukubwa wafamilia yako 7. Msomi kiasi unamaanisha kiwango gani cha elimu? Ukielewesha hayo utapata mwanaume umtakaye.
Tufahamu yafuatayo 1. Umri wako 2. Elimu yako 3. Kazi yako 4. Asili/kabila 5.mtaraka au mjane 6.Ukubwa wafamilia yako 7. Msomi kiasi unamaanisha kiwango gani cha elimu? Ukielewesha hayo utapata mwanaume umtakaye.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,622 May 8, 2015 #40 Apologise lady said: Miaka 45????????????????? mbona utawahi kuwa mjane hivo, khaa!!!!!!!! mmh!!!!!!! haya Asprin kuja huku. Click to expand... unaju ye ana umri gani?
Apologise lady said: Miaka 45????????????????? mbona utawahi kuwa mjane hivo, khaa!!!!!!!! mmh!!!!!!! haya Asprin kuja huku. Click to expand... unaju ye ana umri gani?