Natafuta mume

na nyie kumbe mna ID za kazi eeh

cc Madam B
 
Last edited by a moderator:
Ushauri wa bure
Sema una umri gani,familia kama una watoto,unaishi wapi,kazi yako,elimu yako,urefu,umbile kama mnene au modo,kabila ila sio lazima,kisha taja sifa ya huyo babu unaemtaka.

45 imekaa mbali sana,aisee.
 
Natafuta Mume wwema. awe mtu anayempenda Mungu, miaka 45, awe msomi kiasi na awe mkatoliki

Mume mkatoliki huwa haoi mara mbili, labda muislam. Tafute mwanaume wa kikatoliki
 
Mmmm45 Shosti una moyo wewe, 45 mambo Ya kuchukuana na moov katikati ya show msulii umekamata Haya Lakini Una sababu zako .....
 
Miaka 45????????????????? mbona utawahi kuwa mjane hivo, khaa!!!!!!!! mmh!!!!!!! haya Asprin kuja huku.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…