Natafuta Mume

Natafuta Mume

Destinylady

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
52
Reaction score
15
Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35 - 45 itapendeza zaidi na yeye akiwa na watoto, awe serious na awe na uhitaji wa kutulia kwenye maisha ya ndoa, aliye serious aniandikie kwenye email yangu tinnercute@yahoo.com.ili kufahamiana zaidi, Asanteni
 
kila la heri dada ngoja nimwambie kaka yangu akuandikie kwani naye anatafuta mke ambaye ameshazaa
 
Safi sana,naona wewe huna masharti mazito,eti sijui digree ya escrow,sijui mrefu mfupi mnene mwembamba,eti ujue vifungu vya biblia,sijui,sijui tukutane muhimbili hospital,uwe mtumishi wa tra!!!
anyway,utampata soon.
 
Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35 - 45 itapendeza zaidi na yeye akiwa na watoto, awe serious na awe na uhitaji wa kutulia kwenye maisha ya ndoa, aliye serious aniandikie kwenye email yangu tinnercute@yahoo.com.ili kufahamiana zaidi, Asanteni
Uwe makini na hawa waua wanawake kwa kuwalaghai.... Maaana mhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ngoja nichangamkie tenda... maana ninahitaji mke balaa
 
Join Date : 21st November 2014
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

ungetumia account yako iliyozoeleka
 
Sijawahi kujiunga na JF kabla ndio mara yangu ya kwanza kupost kitu chochote, kifupi ni mgeni hapa jamvini na sina account ingine
 
Habarini wadau. Hii ni mara yangu ya kwanza kupost hapa kwenye jamvi nia na madhumuni natafuta mume, mimi ni mwanamke wa miaka 31 naishi arusha nina watoto 2. Natafuta mume kuanzia miaka miaka 35 - 45 itapendeza zaidi na yeye akiwa na watoto, awe serious na awe na uhitaji wa kutulia kwenye maisha ya ndoa, aliye serious aniandikie kwenye email yangu tinnercute@yahoo.com.ili kufahamiana zaidi, Asanteni

Jamani msiruke step ya Uchumba hata kama mna watoto kumi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom