kigori wa kilwa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 483
- 149
hahahah... kigori wa kilwa umekuja mpaka kwa huyu mzee? hahaha, wanaume tupo wachache sana umeona huyu
Ndio nimekuja naona unamshambulia sana mwanamke mwenzangu ndio maana mie nataka ndoa na ww ili nikuonyeshe sisi wanawake tupoje ahhh ahhh naona utaona aibu haswa kuadithia humu
Huyo nimeshamchunguza kila kitu, taarifa zake zote ninazo kiganjani hapa. Nimemzunguka tayari na atakuwa ashanijua mi ni nani akaleta majibu ya ovyo namwaga data zake hapa. hahahaha........ we bado sana kuniweza mimi
Aahhh kumbe mnajuana eehhh basi mie simooooo
simjui ila kuna namna ambavyo nimenasa taarifa zake
simjui ila kuna namna ambavyo nimenasa taarifa zake
Siku nyingine ukinijibu upuuzi kama huu nitakuumbua kwa kuweka namba yako hadharani ambayo ni 07**919199, kama unapinga hii si namba yako bisha hapa hadharani niiweke yote kiazi wewe Faithcolly
cc: Tyta
Mi ndio MCHUNGUZI HURU , nimeshakuchunguza tayari.