Wewe mama nanii...sio unasema tu mcha Mungu mcha Mungu...umche Mungu Kwanza wewe...kisha muombe huyo huyo Mungu akupe mume mcha Mungu...na siyo kutafuta mume humu kwenye mitandao.....humu wote watakwambia wacha Mungu..unadhani kuna mtu anaeweza akasema yeye mcha shetani!!!!