Teckla Anne
Member
- Nov 19, 2012
- 7
- 3
Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri kuanzia miaka 34 mpaka 45. Aliye serious ani PM.[/QUOTE umri wangu ni chini ya hapo ila nakutaka nifanyeje?
Naitwa Teckla, miaka 35 nina mtoto mmoja, Nafanya kazi Dar. Natafuta mume aliye serious na kuanzisha familia. Vigezo awe mkristo na awe na kazi au biashara, hata kama akiwa na mtoto ruksa. Umri kuanzia miaka 34 mpaka 45. Aliye serious ani PM.
Mimi nipo tayari ni-pm faster....am serious
hata walionasa walianza kwa masihara hivihivi.mme wa mtu je nae atume maombi?