Munch wa Annabelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 6,309
- 10,918
Nakukatia tiket uje tandahimba keshokutwa asubuh na mapemaNaitwa Jane,niko Urambo Tabora
AstaghafulilahNakukatia tiket uje tandahimba keshokutwa asubuh na mapema
Awe muaminifu wakati ulishindwa kuwa muaminifu ktk subira ili upate mume muanze wote maisha!Mimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu,
Namba ni 0625221348
Ushapigwa baoAstaghafulilah
Umeshindwa kuwa muaminifu kwenye mwili wako mpaka umezalishwa ukaachwa, Sasa unataka mwngn awe muaminifu kuja kubeba mizigo yako πMimi ni binti Single Mother miaka 36,natafta mme awe muaminifu,
Namba ni 0625221348
Huyo ni bibi wa mtoto mmoja, miaka 36 kwa mwanamke huyo n bibiTukuelewe vipi, wewe ni binti au single mother?
Mkuu maswali mingi ya nini?Ikawe kheri kwako
Mwanao anaitwa nani dada
Sawa mkuuMkuu maswali mingi ya nini?
Acha mbwembwe wewe. Kaacha namba hapo, piga muyajenge.
Maisha kustiriana acha nijurushe mjini PM sheikh Abdul Malik πππHarmful hujachoka kujipikia futari, njoo uchukue mke huku
Nimei-quote hii comment doc usije kuikana kama ya mama 5πUsijibu comment nyingine tena baada ya hii. Ukitaka nikuoe
Nitakupigia asubuhi niko naongea na sheikh ili tufunge ndoa asubuhi .
Shahidi atakuwa dada yangu nimeshamuambia na hapa ameanzq kukanda maandazi ya watu kula hapo kesho kwenye ndoa yetu .
Usiku mwema mpenzi wangu na mke wangu mtarajiwa .
Wabillah wataufiq
Ulisema 35+ ndio vitu vyako mkuuπ€You see now, kigezo ni kimoja tu wakuu...AWE MWAMINIFU!!
Super star wa ndandahimba yuko liveπNakukatia tiket uje tandahimba keshokutwa asubuh na mapema
Wapii Muh akeeππ½πMaisha kustiriana acha nijurushe mjini PM sheikh Abdul Malik πππ