TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,434
- 3,553
Dah!,kama huwezi kumsaidia mwenzako basi usimuumizee.Tulia lea watoto wako watatu acha kutanga tanga.
Watoto watatu wote unataka kumpa nani huo mzigo ?......
Sema unataka wa kukusaidia kulea watoto wako acha kutafuta huruma na unafuu wa maisha!...
Vipi ulimpata?Habari za humu JF
Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
Hongera dada.Habari za humu JF

Ha ha ha unazingua sana mkuu.Maombi yangu juu yako upate mme, kigezo muhimu unacho.....kaburi.
Bro kamata mke uanze mwaka vizuri, mke uhakika huyu mke kanyooka....kaburi lipoHa ha ha unazingua sana mkuu.
Duh!, Nyie vijana....eti kaburi lipo.Bro kamata mke uanze mwaka vizuri, mke uhakika huyu mke kanyooka....kaburi lipo
Jamani Wacha Msangi awe shemeji yangu! Njoo pm harakaHabari za humu JF
Mimi ni mwanamke umri 34yrs naishi Dar es Salaam natafuta mwanaume wa kunioa
Sifa zangu
Trible:mpare wa ugweno
Elim Digree
Kazi: Biashara ndogondogo
Dini:Mkristo Lutheran(KKKT)
Nina watoto 3 niliwahi kuolewa Ila Bahati mbaya amefariki kwa ajali ya gari, ninahofu ya Mungu, mpole, msikivu,mtulivu,rangi maji ya kunde (mweupe kwa Kiasi Ila si sana)sio mnene wala mwembamba pia sio mfupi ni mrefu Kiasi(wastani)
Sifa za mwanaume
Umri kuanzia miaka 40 hadi 55 awe na hofu ya Mungu ,mkweli na mwenye upendo
Awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato, akiwa na watoto ni Sawa nitawapenda Kama Wangu, kabila lolote , dini Mkristo ila sio Sabato zaid awe mpambanaji(mtafutaji)Karibu dm tuyajenge niko tayari kuwa mke.
MrejeshoHabari za humu JF

ni dm namba yako please kama uko serouseHabari za humu JF

Kama bado upo single umenipata.Habari za humu JF

eti eeh...hivi kiuhalisia mnaenda kuhakiki kama lipo kweli au? maana km ni uongo unajuaje?Bro kamata mke uanze mwaka vizuri, mke uhakika huyu mke kanyooka....kaburi lipo
Kuhakiki nini? Sijaelewa hapo broeti eeh...hivi kiuhalisia mnaenda kuhakiki kama lipo kweli au? maana km ni uongo unajuaje?
hilo kaburi kiongoziKuhakiki nini? Sijaelewa hapo bro
Kuona kaburi muhimu 😁hilo kaburi kiongozi
duuh km mbna ukatiri uo? sasa kama kaburi halionekani limeshayeyuka lenyewe ghafla kwa neema ya muumba apo inakuwaje? mnaachana au?Kuona kaburi muhimu 😁