Kweli wajinga hii Nchi ni wengi., "awe na mtaji wa kuanzia milion mia" kwani unaolewa na mtaji au unaolewa na mwanaume. Wew hata akija kapuku kama anajielewa olewa naye tu mengine Mungu ataajilia.Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu
Sifa zangu:
1. Ni mrefu kiasi wa cm 170
2. Nina rangi ya maji ya kunde
3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo
4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters)
5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa katika shirika mojawapo la umoja wa mataifa hapa Tanzania.
6. Ni mkristo mkatoliki
7. Ni mtii na wa kujishusha ninae amini katika u kichwa wa mwanaume kwenye ndoa.
Sifa za mwanaume nimtakaye.
1. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipo kua wasabato
2. Awe kwenye maadili mema, asie kunywa pombe Wala sigara
3. Awe aidha na elimu ya chuo kikuu walau bachelor degree, au Kama Hana elimu hiyo, awe na biashara isio pungua mtaji wa milioni Mia moja
4. Awe na kazi yenye kipato kisicho pungua milioni tatu kwa mwezi
5. Awe tayari kupima VVU
6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
7. Awe na umri wa miaka 32 Hadi 40.
Kama una sifa hizo karibu pm. Kama huna waweza kupita kwenye thread zinazo kuhusu.
Ahsanteeh
Wakubwa kwanzaDogo hutaki mteremko huo?
Wanawake na mashariti mengi utadhani wao ndio wanatuinamisha sisi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa
Utafia kifuani Babu we
Hawatokwi na senti zaidi ya kodi ya meza😂😂😂😂Hivi wa sabato wana kasoro gani mpaka wawe isolated na wa Kristo wengine?
Mm nyani mzee nimekosa kufia kifuani kwa wanawake tangu nibalehe zaidi ya miaka 38 iliyopita.
Mm nachakata Mbususu ulimi nje kazi kazi hadi mavyuzii yanang'oka.
Usiombe aisee..))
Ni hatari mkuu, HAPA UNAWEZA KWENDA KUTAFUTA MKE UKAISHIA KUPATA MUME
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulaa chuma hikoooUdugu nimefika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiHataree udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakuachee mwayaa, wee tafuta hitaji lakoo, inshaallah utapataa.
Kila LA kheri mwayaa, JF izoeee ndo iko hivi kila siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida kwangu ni pombe tu, hayo mengine hayajanishtua.
Elimu nimerithi vyeti na navitumia fresh tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kulaa chuma hikooo
Hivyo vigezo ni mbwembwe tuu, wanaume tuzameni pm tusiogope, mbona mnogopa vitu vidogo sana ambavyo siyo nature yetu?
Pisi ni kali sanaa...
View attachment 2667435
Yani experience ya uzinifu ni kigezo hapa, au sio?6. Awe fundi kitandani (Mimi nipo vizuri eneo Hilo)
Wewe nikuachie naniKula chuma hiko wewe acha wengeee!!![emoji23][emoji23]