Natafuta mume

Kama hautojali unaweza nitafuta mimi Dm
 
Ngoja kwanza I'd yako nyingine ni ipi

Sina nyingine zaidi ya hii, kuna moja ilikuwa inaitwa Eka mbe ila hii niliipoteza. Naomba tafadhari unifungulie geti niingie mama
 
Hahahahahahaha pm yangu haifunguki
Sina nyingine zaidi ya hii, kuna moja ilikuwa inaitwa Eka mbe ila hii niliipoteza. Naomba tafadhari unifungulie geti niingie mama
 
Watu wamekuwa wakipoteza raslimali nyingi kukusanya taarifa kwa ajili ya tafiti zao kumbe njia nirahisi sana ya kupata hizo taarifa, na mimi nitatumia hili jukwaa kupata taarifa za utafiti wangu muda ukifika.
 
Unataka kutafiti nini
Watu wamekuwa wakipoteza raslimali nyingi kukusanya taarifa kwa ajili ya tafiti zao kumbe njia nirahisi sana ya kupata hizo taarifa, na mimi nitatumia hili jukwaa kupata taarifa za utafiti wangu muda ukifika.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…