Huku huwa unaweka na sifa zako unaunganisha na
1.Cheti cha STD VII
2.Cheti cha CSEE
3.Cheti cha ACSEE
4.Cheti cha Chuo (University Transcript)
4.Picha yako Ukiwa Unaonekana Full Ili wanaJF tujudge wewe ni Mwanamke wa Aina Gani!

Kama hutaki waswahili sasa hapa unataka nini?! Nenda kwenye forum za wazungu, waarabu na wengineo!Unatudharau waswahili kwa kuwa wewe mwarabu au mzungu sio?!! Mmmmxiuuu!!