Hapana hapo kwenye email utafeli kwani utakuwa kama mpelelezi wengine email zetu zina majina yetu halisi ko tutaogopa kutuma email labda nitengeneze fake email kwa ajiri ya suala hili tu
Jina lako (Teddy) limenikumbusha X wangu mmoja hivi,nilikuwa namuelewa sana ila akaniletea utoto nkajiweka pembeni. Nkutakie kila la kheri ndugu. Mungu asimamie upate hitaji la moyo wako.
Hapana hapo kwenye email utafeli kwani utakuwa kama mpelelezi wengine email zetu zina majina yetu halisi ko tutaogopa kutuma email labda nitengeneze fake email kwa ajiri ya suala hili tu
Mm ni binti wa miaka 24, mkristu (RC) nimeajiriwa, sina mtoto.
Natafuta mwanaume wa kunioa, umri 26-35, mkristu, asiwe na mtoto.
Nitafute tmaganga21@gmail.com