Natafuta mume

Nitumie namba yako
 
Huyu ni mfanyabiashara...mjasiriamwili
 
Sifa zingine zote nnazo ila napungukiwa mbili.
1-Elimu darasa la 7
2-Miaka 35.
Sifa zingine zote zipo,na mpango wangu ni kuoa msomi anisaidie kwenye miradi yangu maana kipato ni zaidi ya ×3 ya hicho ulichokitaja. Urefu ni wa haja..!! Yaani nikisimama na mtu mfupi km joti,ni km vile amesimama binadamu na chupa ya soda. Ni-pm km utaona inafaa!!
 
Maringo yote haya afu unakuta mwanamke mwenyewe flat screen!
unadhani thamani ya mwanamke ipo kwenye chura tu basi unajidanganya angalia wanawake kama kina kylin hawana chura but wanathamani kuliko hao wenye chura wenu wanaoishia kucheza vigodoro
 
naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao

Binti kwanza inaonekana hata hiyo degree yako sio nzuri kwa maana kwa elimu yako kama unavyo dai na kuwamo kwako humu jamvini bado umeshindwa kujifunza hata namna ya kuweka tangazo kama msomi.
Umekalia neno moja tu ulilojifunza eti "value"
Tangazo lao hili linakufanya udharaulike zaidi.
 
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
Kwa style hiyo hutopata mume. miaka itaenda mwisho wa siku utasema bora mwanaume yoyote sawa.
 
Binti kwanza inaonekana hata hiyo degree yako sio nzuri kwa maana kwa elimu yako kama unavyo dai na kuwamo kwako humu jamvini bado umeshindwa kujifunza hata namna ya kuweka tangazo kama msomi.
Tangazo lao hili linakufanya udharaulike zaidi.
acha nidharaulike but nimesema haja ya moyo wangu na sio kudanganya jukwaa ili nionekane decent girl wakati siko hivyo
 
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
Sasa kama unaye ina maana unatafuta wa pili ama ni vipi?
 
na ndo mana nimefungua account mpya cause nilijua ujinga kama huu hautakosekana ila mwambie daby nampenda ila simuamini kabisa cause huyo ni most wanted humu
Kumbe account ya zaman imekushinda hii mpya ndo utapata eenhh
kazi kwel kwel unapost halaf unajicoment wewe tena
 
Reactions: SDG
unadhani thamani ya mwanamke ipo kwenye chura tu basi unajidanganya angalia wanawake kama kina kylin hawana chura but wanathamani kuliko hao wenye chura wenu wanaoishia kucheza vigodoro
May be, nisikukatishe tamaa usije ukajitia kamba bure... Ila kama unatafuta mwanaume wa Dar, utapata shida sana... Wanaume wa Dar wanapenda Churaaa!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…