Wanawake mnaboa sana, hizi akili sijui mwaziweka wapi, wote waliokuona hawajaiona hiyo value, sisi tusiokuona ndo waja kutuimbia hapa una value. THAT MINDSET ya kusema una value na unaiona it will repel wanaume, niamini mimi! kwenye andiko lako waonyesha clearly unyenyekevu ni sifuri, na niamini mimi, wanawake wazuri na wanaojua thaman zao wanaishia kupigwa tu, wanaoonelwa ni wale wanyenyekevu wanaojitambua hata kama sura zao ni average, Wanaume hawaoi wanawake ili kufungua kampuni ya mamis na ma modo, wanaoa ili kulea familia. KILA LA KHERI dada yangu, Dont take this personal.