Delightness
Member
- Apr 19, 2017
- 20
- 29
Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Acha kuleta vigezo vingiMimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofautikama umekosa kote kwenye makundi yote, I mean, Uliposoma, kanisani, Mtaani, Kazini, Kwenye Mahotel yote, then waja hapa na masharti kibao??????? Hemu jitafakari tena Dada yangu.
ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifataoMpaka unaamua kutangaza hapa ni wazi kuwa wewe hufai, hata kukuona hawakuoni[emoji23][emoji23]