Natafuta mume



pic plz
 
Walio okoka huwa hawatafutagi wenzi wa maisha yao kwenye mitandao ya kijamii! Utakuja kuolewa na jini!!!!
Huku ndipo tulipotoka... unaonyeshwa picha unaenda nyumbani kwao binti anaitwa unacomfirm baada ya hapo ndoano.
 
Hongera Dada naomba uje pm
 
Usiogope mrembo Mungu amejibu maombi yako ...vigezo vyote ninavyo na kwa kudhibitisha zaid cheki avatar yangu apo. Ameen
 
All the best darling
Hope na kamati ya harusi itatoka humu ndani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…