Unakaa mkoa ganHabari,mm ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa .Nimeokoka na mpenda Yesu,Sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi ktk njia zimpendazo Mungu,awe amejiajiri au anafanya kazi.Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Mungu atakusaidia usichoke kuomba sawa dada!Habari,mm ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa .Nimeokoka na mpenda Yesu,Sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi ktk njia zimpendazo Mungu,awe amejiajiri au anafanya kazi.Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Amina kaka.Mungu atakusaidia usichoke kuomba sawa dada!
Mungu na afanikishe hitaji la moyo wako. Mwamini atakutimizia.Habari,mm ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa .Nimeokoka na mpenda Yesu,Sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara.Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na kuishi ktk njia zimpendazo Mungu,awe amejiajiri au anafanya kazi.Karibu pm kwa maelezo zaidi.
Ameen.Mungu na afanikishe hitaji la moyo wako. Mwamini atakutimizia.
AmeenMungu akutangulie ingawa cku hizi Imekuwa vigumu Sana kuolewa
Kasema hajaolewa, ndo anatafutaNdoa njema
Imeandikwa: Usimjaribu Bwana Mungu wako. Tubu!!mmh njoo pm dada, yesu amejibu maombi yako.