lady Jay
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 529
- 655
Unajua haya mambo yanaenda na specifications. Embu elezea wajihi wako. Umbile, shepu, rangi, na hata kiwango chako cha uzuri. Wewe ni wa kawaida, mzuri kiasi, mzuri sana au mzuri kupitiliza? Pia wewe ni Andunje (short chasis), mrefu wa wastani au super tall kama Hashim Thabiti? Vipi uko flat screen au chogo?
