Natafuta mume

Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Unajua haya mambo yanaenda na specifications. Embu elezea wajihi wako. Umbile, shepu, rangi, na hata kiwango chako cha uzuri. Wewe ni wa kawaida, mzuri kiasi, mzuri sana au mzuri kupitiliza? Pia wewe ni Andunje (short chasis), mrefu wa wastani au super tall kama Hashim Thabiti? Vipi uko flat screen au chogo?
 
Nakuhitaji sana Mimi Nina watoto wanne Nina sifa unazohitaji watoto nimezaa na wanawake tofauti nipo na watoto wangu unasemaje
 
yaani kuna vijana mna madharau hapa ila si lolote si chochote hata wake zenu wabaya manishi tu kwa pumzi za michepuko.huna raha na mke huna hamani mke ana utamu ila mnavoponda hapa utadhani maisha mmeyapatia kumbe hoi tu
....teh hee hee hee..gazeti lote nimekujibu wewe?
..niondolee stress,nawe kafie mbele!
 
Nina miaka 29.. natafuta mume aliye serious na mwenye hofu na mungu ..awe mkristo umri kuanzia miaka 30-35....sipo kwaajili yakujaribiwa...kazi yoyote ili mradi iwe halali ..
aliye tayar ani pm...
29 yrs ur too old tafuta mtu akuzalishe tu yaishe,ulee mwanao single maza sio ulemavu.
 
Ni pm mimi ili tufyatue watoto ila ujiandae maana nitakushughulikia mpaka hamu ikuishie kabisa
 
Nina miaka 29.. natafuta mume aliye serious na mwenye hofu na mungu ..awe mkristo umri kuanzia miaka 30-35....sipo kwaajili yakujaribiwa...kazi yoyote ili mradi iwe halali ..
aliye tayar ani pm...
Kabila lako tafadhali.
 
Nimekumbuka joke moja ya mc pilipili eti mkifika 30's mnaanza kusema "ee baba nipatie yeyote tu"
Anyway kila la kheri ila washauri ma bidada wenzio wale dogo dogo watuheshimu wanaume umri unaenda waache nyodo la sivyo wataishia kuomba kuolewa
 
kufa nitakufa na nitafia mbele kwani unadhani nitakufia wewe hapo? jifunze ustarabu bwana kwani ni sh ngapi?
.....nimesema nilichosema!...ni kweli 'wenzie' wanatafutwa;ni kweli 29 ni mzee!
..na kama umekubali hata wewe utafia mbele kwanini yeye 'asifie mbele'!
..wewe na mwenzio(japo nishahisi ndie wewe huyo huyo),kafieni mbele!
 
JF imeingilia na vitoto. Mtu analeta suala lake yupo serious then wengine mnachafua. Kuweni serious na mambo ya watu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom