Natafuta mume wa kunioa

Mwenyezi Mungu akuongoze upate mume mumeo.Ni yeye tu ndie atakaekupa ubavu wako akuongoze kwani hapa JF watu wanaolewa na kuoa na wapo kwenye ndoa mpaka-sasa,JF kuna wateja wa milembe na wateja wa shikuba so wapuuze....
 
Dah sifa zote ninazo ila kigezo cha dini kimenitoa nje ya ulingo.
 
nimemuoa masai dada lakini bado sina mtoto nae! vp can i fit? plz nijibu!
 
Last edited by a moderator:
Mwenyezi Mungu akuongoze upate mume mumeo.Ni yeye tu ndie atakaekupa ubavu wako akuongoze kwani hapa JF watu wanaolewa na kuoa na wapo kwenye ndoa mpaka-sasa,JF kuna wateja wa milembe na wateja wa shikuba so wapuuze....

Nashukuru Mkuu
 
Mi nina nia ya dhati, lakini sina sifa hata moja kati ya hizo ulizozitaja hapo juu...........Nimesikitika sana, nimehuzunishwa sana na kusoneneshwa sana na kukosa sifa......Poor me!
 
Miaka 30 na bado unaweka masharti magumu namna hiyo??
Hawa early 20's watasemaje???

Najua value yangu Mkuu.Na kwa mwanaume mwenye uelewa mpana ataangalia vigezo vya mwanamke zaidi ya umri.Nimetumia lugha nyepesi ili nisikukwaze.Ukiisoma vizuri utajua na maanisha nini.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…